ni duka la ecommerce mtandaoni nchini Tanzania ambalo linauza bidhaa kwa bei za chini sana nchini Tanzania. Unaweza kupata bidhaa na huduma Kwa wakati. Ni jukwaa la wanunuzi na wauzaji. Kwa kila mauzo ambayo muuzaji hufanya, Kinange Company haijipatii asilimia fulani ya mauzo hayo. Unaweza kupakua app yetu inayopatikana kwenye Google Play store.

Unaweza kupata bidhaa kama vile vifaa vya elektroniki, mkusanyo wa bidhaa za wanawake pamoja na wanaume, vinyago na vifaa vya watoto, nk. Kinange pia ina mpango wa ushirika (affiliate program) kwa watu ambao wangependa kukuza bidhaa zinazouzwa kwenye jukwaa hilo. Unaweza kulipia bidhaa na huduma kupitia Tigo Pesa, Airtel Money, Mpesa, HaloPesa pia bank.

Kinange hutoa uduma ya usafirishaji wa bidhaa hizi hadi nyumbani kwako. Kufikia sasa, Kinange ni duka la ecommerce pana lenye uwezo mkubwa zaidi Nchini Tanzania.

Ndugu mfanyabiashara Unaweza kununua au kuuza bidhaa yoyote kwenye Kinange App: magari, mali, bidhaa za mitindo, afya na urembo, fanicha na vifaa vya nyumbani nk. Ili kuanza kuuza kwenye Kinange App, unahitaji tu kujiandikisha kwa kutumia barua pepe yako au nambari ya simu. Kisha weka picha ya bidhaa unazouza kwenye Kinange App na uziambatanishie bei. Unahitajika kujibu maswali yanayoulizwa na wateja kwenye jukwaa hili pia na Kwa njia ya Whatsapp