Why choose us
Anza mwaka 2023 kwa kuuza bidhaa zako Kinange App
Ni bure na rahisi kwa mtu yeyote



Huduma zetu
Tupo hapa kukuhudumia masaa 24/7
Huduma bora
tunapokea simu kwa wakati na kutatua matatizo ya mteja
Delivery
Tunafikishia mteja bidhaa ndani ya masaa 48 nchi nzima
Malipo
Tunapokea maalipo kwa njia zote na kwa usalama 100%

Uza Kinange...
Anza kuuza bidhaa zako bure
Ndugu mfanyabiashara karibu na uanze kuuza bidhaa zako kwenye Kinange app bure na kuanza kuongeza mauzo makubwa na kunufaika bila gharama yoyote
Ni Rahisi...
Bila shule au elimu ya technology
Kupakia bidhaa zako kwenye Kinange App ni ndani ya dakika 1 tu, ni rahisi na haraka. Anza sasa, Anza leo.


Blue Eagle
*
“Kinange ni App nzuri na yenye ufanisi wa hali ya juu, nimeongeza mauzo yangu mara tatu baada ya kuanza kuuza bidhaa zangu kwenye app hii.

Calvin Assenga
*
“Imekuwa rahisi kuuza bidhaa zangu Nchi nzima kupitia Kinange App. Nimekuwa nikipata wateja mpaka wa vijijini mikoa ya mbali na Dar Es Salaam.

Shimboni Masele
*
“Ni rahisi kutumia, kutrack orders, kuwasiliana na mteja na kupokea malipo. Naipenda Kinange App kwasababu hakuna gharama Wala ada pale uuzapo bidhaa zako.
Pakua App...
Shuhuda za wafanyabiashara
Ndugu mfanyabiashara karibu na uanze kuuza bidhaa zako kwenye Kinange app,hizi ni baadhi ya shuhuda za wafanya biashara wenzako